Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, October 4, 2013

Dkt. Bilal aagana na Mabalozi waliomaliza muda nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Tanzania, nchini Ethiopia Naimi Aziz, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Tanzania, nchini Ethiopia, Naimi Aziz, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Yahya Moosa Bakari, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Yahya Moosa Bakari, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Okt 3, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Okt 3, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini

No comments :

Post a Comment