
Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu Muswada wa Katiba. Kushoto ni Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila.
No comments :
Post a Comment