
Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta (katikati) akinyanyua moja ya silaha ambazo zilisalimishwa na zilizokamatwa wakati wa Operesheni Kimbunga 01/13 kutoka kwa majangili wakiwamo wanaotoka nje ya nchi. Kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Zedekia Makunja na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Rajabu Maneno. (Picha: Mashaka Mgeta)
No comments :
Post a Comment