AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, November 5, 2013

Mwakilishi wa SAVE The CHILDREN AAGA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Save The Children Bw. Mubarak Maman, 
alipofika kumuaga Rais leo,Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake wa kazi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Save The Children Bw. Mubarak Maman,
(katikati) alipofika kumuaga Rais leo baada ya kumaliza muda wake wa kazi.
Pia na Bibi Mali Nilsson,(kushoto)ambaye alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar,
kushika nafasi ya kuwa mwakilishi mpya wa Shirika hilo la Save The Children,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment