WANAFUNZI wa skuli ya Trifonia Academy ya Fuoni mambo sasa
wakionesha vazi la Kingazija wakati wa maonesho ya mavazi katika
sherehe za mahafali ya wahitimu wa darasa la saba na kidatu cha nne
wa skuli hiyo yaliofanyika skulini hapo Fuoni
WANAFUNZI wa darasa la pili skuli ya Trifonia Academy ya fuoni
mambo sasa wakionesha vazi la kimasai wakati wa sherehe ya mahafali
ya nane kwa wahitimu wa kidatu cha nne na ya kumi kwa wahitimu
WANAFUNZI wa skuli ya Trifonia Academy ya Fuoni mambo
sasa wakionesha vazi la Kiarabu wakati wa maonesho ya mavazi
katika sherehe za mahafali ya wahitimu wa darasa la saba na kidatu cha nne wa skuli hiyo yaliofanyika skulini hapo Fuoni
Chanzo: ZanziNews
No comments :
Post a Comment