Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, December 14, 2013

AN-NUUR

Soma gazeti lako An-Nuur Ijumaa

An_nuurHakukaliki! Wakristo, Waislam washikiana mapanga, bunduki
*   Mauwaji ya kutisha kijiji kwa kijiji
*   Watu waswali na silaha mgongoni
*   Kanisa Katoliki lafurika wakimbizi
Mandela alikuwa katika orodha ya magaidi ya Marekani hadi 2008
*   Obama, Cameron walipaswa kuomba radhi
Waislam katika ‘msiba’ wa Uhuru
*   Serikali yawasahau wapigania Uhuru
*   Msiba umbeleni kama dhulma haitakoma
Taasisi za Kiislamu zatakiwa kuitisha mjadala wa pamoja
*   Ni wa kujadili matatizo ya Waislamu
*   Tofauti za kiitikadi ziwekwe pembeni
Ndoto ya Zanzibar itatimia
*   Haki sawa, heshma katika muungano
Mashahidi wa Serikali waingia mitini
*   Ni katika Kesi ya Imam Hamza, Jijini Mwanza
Uke wenza usihusishwe na Ukimwi
*   Pemba, Tanga, Lindi imedhihirisha
Masheikh watoa darsa la ndoa
Muafaka wa nyuklia, Iran yapigwa bao!
Soma nakala yako hapa: An-Nuur Ijumaa

No comments :

Post a Comment