
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Balozi Amina Mohamed, aliposimama kwa muda katika Uwanja wa Ndege jijini Nairobi, Kenya jana wakati akirejea nyumbani akitokea Paris, Ufaransa kuhudhuria mkutano wa amani, usalama na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Ufaransa na Bara la Afrika.
No comments :
Post a Comment