Meneja Huduna za Wateja Benki ya NMB tawi la Zanzibar Abu Msangula, akimkabidhi seti ya Jezi Meneja wa timu ya Baraza la Wawakilishi Nassor Salim Jazeera (mwakilishi wa jimbo la Rahaleo), anayesherehekea mwakilishi wa Mkwajuni Mbarouk Mtando mjumbe wa timu hiyo, makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi mdogo wa baraza.
Meneja Huduna za Wateja Benki ya NMB tawi la Zanzibar Abu Msangula, akitowa maelezo ya huduma ya Benki yake kwa Viongozi na Timu ya Baraza la Wawakilishi wakati wa kukabidhi Vifaa vya Michezo jezi Seti moja kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa mchezo kirafiki na Timu ya Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano unaotarajiwa kufanyika Zanzibar katika sherehe za Mapinduzi mwakani.
No comments :
Post a Comment