Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman, akisalimiana na Kiongozi wa Msikiti wa Kikungwi Maalim Khatib Makame, baada ya kumkabidhi Mchanga, kwacajili ya ujenzi na umaliziaji wa msikiti wao ulioko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja, PBZ hutoa misaada kwa Taasisi za kijamii katika mapato yake inayoyapata kupitia huduma ya Kibenki na faidi hiyo hutumika kusaidia Shughuli za Jamii. katika makabidhiano hayo jumla ya Taasisi za Jamii zimepata msaada wa Saruji Mabati na Mchanga kwa ajili ya kufanikisha majengo ya kutolea Elimu kwa jamii Zanzibar.
Meneja Masoko wa PBZ Seif Suleiman, akipeana mkono na Katibu wa Kamati ya Maendeleo ya Kivunge Khamis Adam, baada ya kukabidhiwa mabati kwa ajili ya ujenzi wa Skuli ya Maandalizi ya Watoto katika Kijiji cha Kivunge kilioko Wilaya ya Kaskazini Unguja.
Meneja Masoko wa PBZ Seif Suleiman, akisalimiana na Ustadh wa Madrasatul ya Iburaham
Mwanakwerekwe Unguja Rashid Jaffar, baada ya kumkabidhi saruji na mchanga
kwa ajili ya madrasa yao.
Mwanakwerekwe Unguja Rashid Jaffar, baada ya kumkabidhi saruji na mchanga
kwa ajili ya madrasa yao.
Chanzo: ZanziNews
No comments :
Post a Comment