Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, December 21, 2013

Tangazo:Shirazi Abeid Juma afariki dunia Afrika kusini

picha jumaa abeid

Jamaa au mtu anaemfahamu marehemu tafadhali wasiliana na
Abdallah Hussein +27 71 216 8505.
 
unnamed (62)
 
Watanzania waishio Johannesburg wanawatafuta ndugu, rafiki au jamaa wa Shiraz Abeid Juma (pichani), ambaye sasa ni marehemu. Shiraz alifariki wiki hii na kuzikwa siku ya Jumanne huko Johannesburg, Afrika Kusini.
Marehemu alifika Afrika Kusini akitokea eneo la Mpendae kule Zanzibar kama nyaraka alizoacha zinavyoonyesha. Namba za simu zilizokuwa kwenye vitabu vya marehemu hazipatikani. Kwa yoyote mwenye kumfahamu marehemu, tafadhali wasiliana na Abdallah Hussein +27 71 216 8505.

Chanzo : Michuzi blog

No comments :

Post a Comment