Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, July 17, 2014

PEMBA KUZURI!

Maalim Atembelea Soko la Chake na Wete PBA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihoji bei ya chaza katika soko la Wete. Mtungo mmoja wa chaza unauzwa shilingi 500.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihoji bei ya ndizi mbivu katika soko la Wete.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea soko la Qatar, Chake Chake Pemba.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihoji bei ya samaki katika soko la Mtemani Wete. Bei ya samaki hawa ni shilingi 1500 hadi 3000 kwa samaki mmoja.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na mfanyabiashara za maboga katika soko Wete.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akielezea kuridhishwa na hatua ya ufugaji wa samaki Kiuyu Minugwini. (Picha na Salmin Said, OMKR).

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment