dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, September 15, 2014

Dk Shein awasili Comoro kuanza ziara ya siku nne

  RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOHAMED SHEIN AKISALIMIAANA NA BALOZI COMORO NCHINI TANZANIA ALIPOWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA COMORO AKIWA KATIKA ZIARA YA KISERIKALI AKIWA AMEFUATANA NA MKEWE MAMA MWANAMWEMA SHEIN NA VIONGOZI MBALI MBALI [PICHA NA RAMADHAN OTHMAN,IKULU.]
 
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOHAMED SHEIN  AKIWA NA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA COMORO MOAMED  ALI SOILIHI WAKATI WIMBO WA TAIFA WA JAMHURI YA MUUNGANO WAA TANZANIA NAWIMBO WA MUUNGANO WA COMORO UKIPIGWA [PICHA NA RAMADHAN OTHMAN,IKULU.]
 
 RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOHAMED SHEIN   AKIZUNGUMZA NA  MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA COMORO MOHAMED ALI SOILIHI BAADA YA MAPOKEZI ALIPOWASILI  KATIKA UWANJA WA NDEGE WA COMORO LEO AKIWA NA UJUMBE WAKE.[PICHA NA RAMADHAN OTHMAN,IKULU.] 

 WANANCHI WALIOVALIA FULANA NA BENDERA  ZA TANZANIA  WALIPOKUWA KATIKA MAPOKEZI YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOHAMED SHEIN   AKIWA NA UJUMBE WAKE WALIPOWASILI  KATIKA UWANJA WA NDEGE WA COMORO LEO.[PICHA NA RAMADHAN OTHMAN,IKULU.] 

 RAIS WA ZANZIBAR NA WENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOHAMED SHEIN AKIPUNGA MIKONO KWA WANANCHI WA KOMORO AKIWA NA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA KOMORO MOHAMED ALI SOILIHI WAKATI WA MAPOKEZO ALIPOWASILIMKATIKA UWANJA WA NDEGE WA KOMORO LE AKIWA KATIKA ZIARA YA KISERIKALI.[PICHA  NA RAMADHAN OTHMNAN IKULU.]

RAIS WA ZANZIBAR NA WENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOHAMED SHEIN NA MKEWE MAMA MANAMWEMA SHEIN PAMOJA NA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA KOMORO MOHAMED ALI SOILIHI  WAKIANGALIA NGOMA ZA UTAMADUNI MARA WALIPOWASILI KATIKA ZA UWANJA WA NDEGE WA KOMORO LE AKIWA KATIKA ZIARA YA KISERIKALI.[PICHA  NA RAMADHAN OTHMNAN IKULU.]

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment