Gold Zanzibar Beach House & Spa
+255 779 700 005 - P.O.Box 1543 Kendwa
(North Coast ), Zanzibar, Tanzania
Keki ya kusherehekea miaka miwi ya Hoteli ya Gold Zanzibar Beach Hotel Kendwa ilioko Mkoa wa Kaskazini Unguja ikisherehekea miaka miwili tangu hoteli hiyo kufunguliwa na kutowa hutuma za kupokea Watalii wa daraja la Kwanza Zanzibar.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Gold Zanzibar Beach Hotel wakiwa na keki yao wakisherehekea miaka miwili ya hoteli hiyo tangu kufunguliwa na kutowa huduma kwa Watalii wanaotembelea Zanzibar wakifurahia wakiwa na Keki yao katika ukumbi wa hafla hiyo iliofanyika katika hoteli hiyo na kuhudhuriwa na Wageni mbalimbali na Maofisa wa Sekta ya Utalii Zanzibar na Wamiliki wa Mahoteli ya Utalii Zanzibar.
Source: ZanziNews

No comments :
Post a Comment