Hali ya nchi yetu ni kama inavyoonesha hapa juu kwenye video. Hivyo sisi jamani ni wakuibiwa? Hebu Mzee Vijisenti na Prof Tibaijuka tufikiriane kidogo na mzirejeshe hizo pesa mlizopora, ili angalau tukaezeke hili paa la Airport (jina la Airport tunalificha, kwani hii ni aibu)!!!
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment