Written by mas-albimany 
Chama cha Wananchi CUF cha nchini Tanzania kimefanya mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika leo Jumapili huko Paje, Mkoa wa Kusini Unguja na kutabiri kuwa chama hicho kitapata ushindi mkubwa wa kuking’oa madarakani chama cha CCM katika uchaguzi ujao.
Viongozi mbalimbali wa ngazi za juu akiwemo Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Sheif Sharif Hamad wamehutubia mkutano huo.
Mwandishi wetu visiwani Zanzibar, ametuandalia ripoti hii hapa chini. Sikiliza sauti:
Chanzo: Mzalendo

BONYEZA HAPA00:00
No comments :
Post a Comment