Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, December 9, 2014

Ziara ya Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Pemba

Mkuu wa Shirika la Bandari tawi la Shirika la Bandari Ndg Hamad Salim , wakati wa ziara ya Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Mhe. Juma Duni akiwa katika ziara ya kutembelea Taasisi za Wizara yake kisiwani Pemba ikiwa mojaopo Shirika la Bandari Pemba kujitambulisha kwa Wafanyakazi wa shirika hilo.
Krini ya kupakulia mizigo, yenye uwezo wa tani tano, iliopo bandari ya Mkoani Pemba, ikiwa imeshaharibika kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, ambapo shirika la bandari Zanzibar linampango wa kunua nyengine yenye uwezo wa tani 40 wakati wowote. 
Wafanyakazi wa Shirika la Bandari Pemba wakimsikiliza Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Mhe Juma Duni, akiwahutubia wakati akiwa katika ziara ya kutembelea Wizara za Mawasiliano na Taasisi zake kisiwani Pemba katika ziara yake kujitambulisha kwa Wafanyakazi wake Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba).

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment