TAARIFA KWA WAISLAMU WOTE WA GREATER TORONTO AREA NA KWENGINEKO!
Kutakua na mhadhara pamoja na kuwaombea dua wazee wetu na wote waliotangulia mbele ya haki pamoja na waislamu wote waliokuwa kwenye matatizo kama huko Zanzibar, Syria, Yemen, Nepal na kwengineko.
Tarehe: 20 Rajab 1436 sawa na 9 May 2015
Saa: 8 mchana (2:00 pm)
Pahala: Zancana Office; 325 Gerrard Street easy, Toronto.
Ustadh Ali Hamad
Ustadh Abdul Fatah
WAISLAMU WOTE WANAALIKWA
Wabillahi Taufiq
|
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Tuesday, May 5, 2015
MHADHARA WA KIISLAMU KUFANYIKA TORONTO!
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment