dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, July 6, 2015

Rais Afutarisha Mkoa wa Kusini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali wakati wa futari aliyoitayarisha kwa Wananchi wa  Mkoa wa Kusini Unguja iliyofanyika  jana katika viwanja vya Jengo la Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) pamoja na Viongozi wengine wakiitikia Dua baada ya Swala ya Magharibi iliyoswaliwa katika viwanja vya jengo la Ofisi ya  Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati wakati wa futari aliyoitayarisha kwa Wananchi wa  Mkoa wa Kusini  Unguja iliyofanyika jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali (kushoto) pamoja na  Viongozi wengine katika futari aliyoitayarisha kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja iliyofanyika  katika viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati jana,
Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Jengo la Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati jana
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akiwa Waziri wa Kilimo na Maliasili Sira Ubwa Mamboya (kulia) na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohammed  katika futari iliyotayarishwa kwa Wanannchi wa Mkoa wa Kusini Unguja jana katika Ukumbi wa Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati
 Akinamama wa Vijiji tofauti vya  Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana  katika Ukumbi wa Ofisi ya Jengo la Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija alipokuwa akitoa shukurani kwa niaba ya Wananchi na Viongozi wa Mkoa wake jana baada ya futari waliyaalikwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Wananchi wa mbali mbali wa Mkoa wa Kusini Unguja  baada ya futari ya pamoja aliyoitayarisha kwa Wananchi hao iliyofanyika jana katika viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati,[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment