Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Unguja Fatma Shomar Omar akitangaza matokeo ya majimbo matatu ya Kikwajuni, Jangombe na Malindi Jimbo la Kwahani matokeo yake bado kukamilika kwa baadhi ya vituo na kutolewa baadae leo mchana, wakati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliofika Afisini kwake Miti Ulaya Unguja mchana huu.
Jimbo la Kikwajuni waliojitokeza kugombea Ubunge walikuwa Wanachama 6. Mshindi wa kwanza wa Kura ya Maoni katika Jimbo hilo kwa
Nafasi ya Ubunge Eng Hamad Yussuf Masauni, ametetea vizuri kiti chake na kurudi tena katika Jimbo hilo,kwa kupata kura 2,222
Mshindi wa Pili Ndg Mussa Shaali Chum aliyepata Kura 461,
Mshindi wa Tatu Mwanamama Nuru Mohammed Ahmed aliyepata kura 155,
wengine waliogombea jimbo hilo
Nafasi ya 4 imechukuliwa na Ndg Abdulkadir Abdurazak Mukrim amepata Kura 146
Nafasi ya 5 Ndg Parmukh Singh Hoosan kura 78, Nafasi ya
6 Ndg Eng Nassiri Ali Juma kura 74,
Kwa Nafasi ya Uwakilishi katika Jimbo la Kikwajuni aliyeibuka kidedea ni aliyekuwa Mwakilishi wa Rahaleo Mhe Nassor Salim Ali Jazira,kwa ushindi wa kura 1200
Nafasi ya Pili imechukuliwa na Ndg Mohammed Ali Ahmed (Kibahola) kwa kupata kura 818.
Nafasi ya Tatu imechukuliwa na aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo Mhe Mahmoud Mohammed Mussa kwa kupata kura 529.
Nafasi ya Nne imechukuliwa na Ndg Saleh Ali Abdallah kwa kupata kura 305
Nafasi ya tano imeshikwa na Ndg Khatib M Khatib (Tido) kwa kupata kura 122.
Nafasi ya sita imeshikwa na Ndg Said Shaban Said kwa kupata kura 90
Na nafasi ya mwisho ya kinyang'anyiro hicho imechukuliwa na Ndg Ibrahim Ali Said kwa kupata kura 86.
/ZanziNews
Matokeo ya Kura ya Maoni CCM Jimbo la Malindi na Jangombe Unguja..
Mshindi wa Jimbo hilo aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Rahaleo ameshinda jimbo la Malindi kama ifuatavyo
Mshindi wa kwanza ni Dr Abdalla Juma Sadala kura 558,
Mshindi wa Pili Kombo Mshenga Zuberi kura 241
Mshindi wa Tatu Ndg Mohammed Suleiman Omar kura 168.
Nafasi ya Nne Ndg Abdi Ibrahim Sanya kwa kupata kura 108.
Nafasi ya Tano Ndg Ame Ameir Ame amepata kura 25
Nafasi ya Sita Ndg Said Kheir Ameir amepata kura 17.
Wa mwisho katika ni Ndg Nassor Khamis Mohammed kura 11.
Kwa nafasi ya Uwakilishi wagombea waliochukua fomu kugombea nafasi hiyo walikuwa 5
Mshindi wa kinyangayiro hicho cha Uwakilishi katika Jimbo la Malindi ni
Ndg Mohammed Ahmada Salum kwa kura 336.
Mshindi wa Pili Ndg Abdurahaman M Hassan kura 271
Mshindi wa Tatu Ndg Himid Mbwana Said kura 254
Nafasi ya Nne NdgAli Abdalla Suwed (MAKASI)
Nafasi ya Tano Ndg Ussi Said Suleiman kura 112.
Matokeo ya Kura ya Maoni katika Jimbo la Jangombe Unguja- Ubunge
Mshindi wa Jimbo hilo ni sura mpya tayari ameshawahi kugombea Jimbo hilo kwa mara ya pili na kipindi hichi kuibuka mshindi katika Nafasi ya Ubunge kwa kumuangusha aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo Ndg Hussein Mussa Mzee.
Mshindi wa kwanza ni Ndg Ali Hassan Omar King, kura 879.
Mshindi wa Pili Ndg Abdalla Husein Kombo kura 639.
Nafasi ya tatu ni Ndg, Hussein Mussa Mzee, kura 566.
Nafasi ya Nne ni Ndg Talib Ali Talib aliyepata kura 341
Nafasi ya Tano Ndg Mgeni Mwalimu Ali aliyepata kura 173.
Nafasi ya mwisho ni Ndg Haji Lila Haji, aliyepata kura 58.
Mshindi wa Kwanza wa Nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Jangombe ni Ndg Abdallah Maulid Diwani kura 740.
Mshindi wa Pili ni Ndg Ramadhani Hamza Chande kura 441.
Mshindi wa tatu ni Ndg Othman Shaban Kibwana kura 418.
Mshindi wa nne ni Ndg Othman Sulieman Nyanga kura 302.
Mshindi wa tano Ndg Mwatum Mussa Suleiman kura 201.
Mshindi wa sita ni Ndg Mwarab Mmadi Mwarab kura 169.
Mshindi wa saba ni Ndg Mohammed Rajab Soud kura 154.
Wa Nane Ndg Idrisa hussein Mrisho kwa kupata kura 75.
Nafasi ya Tisa ni Ndg Said Ali Hamad, kwa kupata kura 63.
Nafasi ya Kumi ni Ndg Shehe Othman Mohammed kura 08.

KWA UPANDE WA UWAKILISHI JIMBO LA JANG'OMBE WAGOMBEA WALIOJITOKEZA 10. KUWANIA NAFASI HIYO.
Mshindi wa Kwanza wa Nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Jangombe ni Ndg Abdallah Maulid Diwani kura 740.
Mshindi wa Pili ni Ndg Ramadhani Hamza Chande kura 441.
Mshindi wa tatu ni Ndg Othman Shaban Kibwana kura 418.
Mshindi wa nne ni Ndg Othman Sulieman Nyanga kura 302.
Mshindi wa tano Ndg Mwatum Mussa Suleiman kura 201.
Mshindi wa sita ni Ndg Mwarab Mmadi Mwarab kura 169.
Mshindi wa saba ni Ndg Mohammed Rajab Soud kura 154.
Wa Nane Ndg Idrisa hussein Mrisho kwa kupata kura 75.
Nafasi ya Tisa ni Ndg Said Ali Hamad, kwa kupata kura 63.
Nafasi ya Kumi ni Ndg Shehe Othman Mohammed kura 08.
/ZanziNews

No comments :
Post a Comment