AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, August 1, 2015

Tofauti ya Lowassa vs Magufuli

Image result for lowassa

Lowassa


1. Alivunja mkataba kati ya city water na serikali
    ikashinda kesi.

2. Alisimamia kidete katika kubatilisha matumizi ya   
    maji ya ziwa victoria dhidi ya mkataba wa kikoloni 
    na hivyo kupelekea watanzania kuanza kunufaika 
    na maji ya ziwa victoria.

3. Alisimamia kwa nguvu uanzishwaji na ujenzi wa 
    shule za kata lakini alivyotoka serikalini       
    utekelezaji ukawa wa hovyo.

4. Alitaka kuvunja mkataba wa Richmond lakini 
    mamlaka za juu zikaingilia.

5. Alitoa kauli iliyosababisha nchi ya Malawi kuufyata 
    baada ya kuleta choko choko dhidi ya Tanzania.


Image result for magufuli

Magufuli


1. Alikamata meli ya samaki kwa mbwembwe na     
    hivyo kuitia hasara serikali mabilioni ya shilingi 
    kwa kushindwa kesi mahakamani.

2. Alisimamia uvunjwaji wa kituo cha mafuta kule 
    mwanza na serikali ikashindwa kesi na hivyo 
    kupata hasara ya mamilioni.

3. Hana kauli nzuri kwa watanzania pale aliposema 
    watakao shindwa kulipa nauli ya kivuko cha 

No comments :

Post a Comment