dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, October 24, 2015

CCM yahitimisha kampeni zake Kibandamaiti jana!

Maelfu ya WanaCCM,Wananchi na wapenda amani wakisikiliza hotuba ya ufungaji wa kampeni za CCM iliyotolewa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika uwanja wa  Demokrasia Kibandamaiti Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Maelfu ya WanaCCM,Wananchi na wapenda amani wakisikiliza hotuba ya ufungaji wa kampeni za CCM iliyotolewa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika uwanja wa  Demokrasia Kibandamaiti Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume alipokuwa akiwataka wananchi na WanaCCM kukichagua Chama cha Mapinduzi ambacho ndio kinachoweza kuiongoza Dola katika mkutano wa kufunga kampmeni za CCM leo katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa  Balozi Seif Ali Iddi akiwasalimia wanachama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wapenda amani leo katika uwanja wa kibandamaiti Mjini Zanzibar katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM,[Picha na Ikulu.]
Maelfu ya WanaCCM,Wananchi na wapenda Amani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hotuba ya ufungaji wa kampeni za CCM aliyoitolewa leo    katika uwanja wa  Demokrasia Kibandamaiti Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muunfgano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi alipopanda katika jukwaa wakati alipowasalimia maelfu ya WanaCCM,Wananchi na wapenda Amani leo katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]


Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiteta jambo na Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan leo wakati wamkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment