Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 27, 2015

Magufuli, Lowassa sasa jino kwa jino.


Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imetangaza matokeo ya majimbo mbalimbali ya uchaguzi nchini ambayo yameonyesha mchuano mkali baina ya Chama Cha Mapinduzi na Chama.cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema).
 
Matokeo hayo yalitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Nec, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, mbele ya waandishi wa habari, waangalizi wa ndani na nje na mawakala wa vyama vilivyosimamisha wagombea urais.
 
Alitangaza matokeo ya majimbo ya na asilimia walizopata wagombea kwenye mabano kuwa ni:
ZANZIBAR
 
JIMBO LA MAKUNDUCHI
CCM - 8,406 (81.20), Chadema - 1,769 (17.09),  ACT -22  (0.21),  ADC -58  (0.56), Chauma - 68 (0.66), NRA - 23 (0.22), TLP - 18 (0.17) na UPDP - 18 (0.17).
 
JIMBO LA PAJE
CCM - 6,035 (75.00), Chadema - 1,899 (23.60),  ACT- 36 (0.45), TLP - 8 (0.10), ADC -21 (0.26), Chauma - 28 (0.35), NRA - 8 (0.10) na UPDP - 7 (0.09).
 
MKOA WA LINDI
JIMBO LA LINDI MJINI
CCM - 31,603 (71.28),  Chadema 11,543 (26.03), ACT -528  (1.19),  ADC - 362 (0.82),  NRA -43 (0.10),  Chaumma - 179 (0.40),  TLP- 43 (0.10) na UPDP – 34 (0.08).
 
MKOA WA KATAVI

JIMBO LA NSIMBO 
ACT 183 (0.48), ADC 64 (0.17), CCM 31,413 (83.14), Chadema 6,042 (15.99), Chaumma  46 (0.12), TLP 14 (0.04), NRA 6 (0.02), UPDP 15 (0.04)
MTWARA

JIMBO LA NDANDA
 
ACT 594 (1.10), TLP 51 (0.09), ADC 409 (0.76), CCM 33,696 (62.34), Chadema 19,017 (35.18), Chaumma 189 (0.35), NRA 47 (0.09), UPDP 49 (0.09).
 
KASKAZINI UNGUJA JIMBO LA DONGE 
ACT 5 (0.07), ADC 22 (0.33), CCM 5,592 (83.69), Chadema 1,019 (15.25), Chaumma 23 (0.34), NRA 10 (0.15), TLP 4 (0.06), UPDP 7 (0.10).
 
JIMBO LA KIWENGWA
ACT 15 (0.35), ADC 24 (0.53), CCM 3,317 (73.30), Chadema 1,104 ( 24.40), Chaumma 27 (0.60), NRA 9 (0.20),TLP 19 ( 0.42), UPDP 10 ( 0.22)
 
MKOA WA TANGA
 
JIMBO LA BUMBULI 
ACT 447 (1.02), ADC 188 (0.43), CCM 35, 300 (80.23), Chadema 7,928 (18.01), Chaumma  85 (0.19), NRA 15 (0.03), TLP 13 (0.03), UPDP 25 (0.06)
 
MKOA WA PWANI
ACT 314 ( 0.52), ADC 59 ( 0.10), CCM 34,604 ( 57.15), Chadema 25,448 (42.03), Chaumma 77 (0.13), NRA 15 (0.02), TLP 17 (0.03), UPDP 11 (0.02)
CHANZO: NIPASHE

No comments :

Post a Comment