Dr Ali Mohammed Shein, Rais wa Zanzibar aboresha huduma za afya nchini kwa wananchi.
"Tuko Mnazi Mmoja Hospital. Wenzetu (Madaktari) wanatueleza kuwa wameitwa na Mkurugenzi wa Mnazi Mmoja Hospital named Jamala na kupewa maagizo rasmi kuwa kuanzia tarehe 12 ya kesho kutwa huduma zote za X - rays, CT scan, Ultrasound, Mabara pamoja na maternity zitolewe bure na kwamba hilo ni agizo kutoka kwa Rais". As received!

No comments :
Post a Comment