Bado mtamsifia magufuli? Think twice!
Nilisema sio chuki na mh magufuli sasa yote yamedhihirika.
waziri wa nishati~mtuhumiwa wa escrow
waziri wa habari~tutafunga bao la mkono
waziri wa kilimo~alishindwa kusimamia bandari na tra.
waziri wa katiba~ alishindwa kusimamia TRL
January makamba~alishindwa kuzidhibiti kupitishwa sheria mbovu za cybercrime adi desemba MCC hawatoi hata senti.
Ngonyani~ hapa ndio nimechoka kabisa nahisi kuna sayansi Fulani inapigiwa promo
bado tutamsifia magufuli? think criticallyu
No comments :
Post a Comment