DKT.MAGUFULI AFOKA MAJENGO YA WILAYA MOSHI NA SIHA
Katika ziara ya kikazi wilayani Siha 05/03/2015 Waziri John Pombe Magufuli amemwagiza Naibu Waziri Mwanry ambaye ni mbunge wa jimbo la Siha kuhakikisha anamkamata Mkandarasi aliyejenga jengo la Wilaya ya Siha na lile la wilaya ya Moshi
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment