Hapa ni meza kuu mwenyekiti wa tawi Seif Akida akiwa na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi kama mgeni rasmi. Viongozi wa Tawi la CCM New York walikutana na Watanzania kuzungumzia maendeleo ya tawi na pia kujipongeza kwa CCM kutoa Rais mwingine kuongoza Tanzania kwa awamu ya 5. Rais huyo ni Dkt Pombe Magufuli ni Rais mteule kutoka chama tawala CCM na toka aingia madarakani ameshajijengea heshima kutokana na utendaji kazi wake wenye kauli mbiu ya
Mh. Balozi akipata ukodak na viongozi wa tawi kama ukumbusho ukumbini hapo picha zingine za balozi na Watanzania nenda soma zaidi.
No comments :
Post a Comment