Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, February 17, 2016

Ujumbe wa Manisipaliti ya Sundsvalls watembelea akinamama wa vikoba Makunduchi


Ujumbe wa Manisipaliti ya Sundsvalls, Sweden watembelea akinamama wa vikoba kutoka shehia zote za Makunduchi. Hapa wanaonekana na akinamama kutoka N'ganani. Waliokaa kitako kutoka kushoto ni mkuu wa kamati ya elimu ya Sundsvalls Assembly, ndugu Joao Pinheiro, Ina Skandevall. Wengine waliosimama ni Hans Zetterqvist na mratibu Bi Christin Stromberg.


Ujumbe huo ulifuatana na mratibu wa Kamati ya Wadi za Makunduchi ndugu Mohamed Muombwa na ndugu Abdallah Ali Kombo (hawapo kwenye picha)

No comments :

Post a Comment