Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM wakiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria mkutano huo leo mchana.
Wajumbe wa Kamati Maalum wa CCM Zanzibar wakibadilishana mawazo kabla ya kuza kwa mkutano huo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe Shamsi Vuai Nahodha akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Kamati Maalumu ya CCM Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kiswandui Zanzibar kuhudhuria Mkutano Kamati Maalum ya CCM uliofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar alipowasili Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai, alipowasili katika Afisi Kuu ya CCM kuhudhuria Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM uliofanyika leo mchana.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg Borafya Silima Juma.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wazazi Zanzibar Najma Giga.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano kabla ya kuaza kwa Mkutano huo
Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano kabla ya kuaza kwa Mkutano huo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika ukumbi wa Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kulia Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakisimama kumpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai, akitowa maelezo kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum yac CCM Zanzibar kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.kilichofanyika Afisi Kuu Zanzibar.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wakati wa kuaza kwa kikao hicho kilichokuwa Chini ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
Tanzania na Saudi Arabia Zasaini Mkataba wa Ushirikiano katika Masuala ya Uchumi, Biashara, Uwekezaji, Ufundi, Vijana na Michezo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli (kulia) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia, Mhe. Adel Al Jubair alipowasili nchini kwa ziara ya siku moja. Wakati wa ziara hiyo Mhe. Al Jubair alipata fursa ya kufanya mazungumzo na Mhe. Rais Magufuli pamoja na kusaini Mkataba wa Ushirikiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia katika nyanja za Uchumi, Biashara, Uwekezaji, Vijana na Michezo. Waziri Al Jubair pia alimfikishia Rais Magufuli salamu kutoka kwa Mfalme Salman wa Saudi Arabia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli (kulia) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia, Mhe. Adel Al Jubair alipowasili nchini kwa ziara ya siku moja. Wakati wa ziara hiyo Mhe. Al Jubair alipata fursa ya kufanya mazungumzo na Mhe. Rais Magufuli pamoja na kusaini Mkataba wa Ushirikiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia katika nyanja za Uchumi, Biashara, Uwekezaji, Vijana na Michezo. Waziri Al Jubair pia alimfikishia Rais Magufuli salamu kutoka kwa Mfalme Salman wa Saudi Arabia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na wajumbe wa Serikali zote mbili wakishuhudia uwekwaji saini wa mkataba kuhusu Ushirikiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia katika nyanja za Uchumi, Biashara, Uwekezaji, Ufundi, Vijana na Michezo. Kwa upande wa Tanzania mkataba ulisainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga (kulia) na Serikali ya Saudi Arabia iliwakilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Mhe. Adel Al Jubair.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na wajumbe wa Serikali zote mbili wakishuhudia kubadilishana hati baada ya uwekwaji saini wa mkataba kuhusu Ushirikiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia katika nyanja za Uchumi, Biashara, Uwekezaji, Ufundi, Vijana na Michezo. Kwa upande wa Tanzania mkataba ulisainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga (kulia) na Serikali ya Saudi Arabia iliwakilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Mhe. Adel Al Jubair.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia, Mhe. Al Jubair, Waziri Mahiga, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Abdallah Kilima (wa kwanza kulia) na ujumbe uliombatana na Waziri Al Jubair.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli (kulia) akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia, Mhe. Adel Al Jubair alipowasili nchini kwa ziara ya siku moja. Wakati wa ziara hiyo Mhe. Al Jubair alipata fursa ya kufanya mazungumzo na Mhe. Rais Magufuli pamoja na kusaini Mkataba wa Ushirikiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia katika nyanja za Uchumi, Biashara, Uwekezaji, Vijana na Michezo. Waziri Al Jubair pia alimfikishia Rais Magufuli salamu kutoka kwa Mfalme Salman wa Saudi Arabia. (Picha na Ikulu )

No comments :
Post a Comment