Anatafutwa mjengaji wa kutengeneza drawings, kuzipasisha na kujenga nyumba ya urefu wa Ground+3+Penthouse.
Kiwanjani sasa hivi ipo nyumba inayotaka kubomolewa na kiwanja kupimwa upya.
Location ya project ni KISIWANDUI, Zanzibar.
Kama hizi ni shughuli zako wasiliana na mhusika kupitia email:znzkwetu@gmail.com
au
peleka sms kwenye simu nambari: 1.647.404.8618
Good luck!
No comments :
Post a Comment