
Rais na Mwenyekiti wa Zanzibar-Canadian Diaspora Association (ZACADIA) Shk Omar Ali Said akionekana hapa juu akiongoza ujumbe wa Canada wakati wa kufunguliwa kwa kongamano la Diaspora la mwaka 2016 huko Zanzibar, kwenye kijiji cha Mazizini, katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort, hii leo asubuhi.
No comments :
Post a Comment