dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, October 12, 2016

Ufunguzi wa mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Daniel F.Kigeda(kulia) na Spika wa Baraza l;a Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir Ali Maulid (kushoto) baada ya Kuufungua Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Daniel F.Kigeda mara alipowasili katika  ufunguzi wa  Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja,(katikati) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir ali Maulid,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.

 Baadhi ya Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika  ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
 Baadhi ya Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika  ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akitoa hutuba yake katika  ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika  ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto mbele) Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Daniel F.Kigeda(katikati mbele) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif AliIddi (kulia mbele) na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir Ali Maulid,wakisimama pamoja na Wabunge wa Bunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki,wimbo wa Taifa nchi za Jumuiya ukipigwa baada ya kumalizika ufunguzi wa  Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mbunge Shyrose  Bhanji mara baada ya    ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wabunge mbali mbali wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.

No comments :

Post a Comment