dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, November 28, 2016

RAIS DKT MAGUFULI APOKEA MARAIS WA ZAMBIA NA CHAD JIJINI DAR ES SALAAM LEO!


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli amlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016


Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akisalimiana na mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali za Afrika nchini mara tu baada ya kupokewa na mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu kwa Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe kassim Majaliwa baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtambulisha na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno kwa viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016

  Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno akipokea shada ya maua mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu wakisimama kwa ajili ya nyimbo za Taifa na mizinga 11 mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016

Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akikagua gwaride rasmi i mara tu baada ya kupokewa na mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa 

Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimzwadia kinyago cha Kimakonde cha "Umoja" na picha ya kuchora ya tembo na Mlima Kilimanjaro na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimzwadia kinyago cha Kimakonde cha "Umoja" na picha ya kuchora ya tembo na Mlima Kilimanjaro na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016

No comments :

Post a Comment