Wafanyabiasha wa mbao na miti katika eneo la kijangwani Unguja tayari wametekeleza amri ya kuhama katika eneo hilo na kuhamia katika sehemu waliopangiwa barabara ya daraja bovu kuaza kufanya biashara zao. Kupisha eneo hilo kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha gari za daladala.
/ZanziNews.Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment