Bwana Dangote
Kuna habari inaonekana kuendelea kati ya uongozi wa kiwanda cha dangote na serikali ya kenya.Mtoa taarifa anasema ambaye jupo kwenye uongozi wa kiwanda hicho anasema serikali ya kenya kupitia waziri wake wa viwanda ,biashara na ushirikiano Hon. Adan Mohamed, wapo tayari kukiamisha kiwanda cha dangote Kutoka mtwara na kukipeleka kenya.
Hon. Adan Mohamed, watoa wao gharama za kukiamisha ambapo itagharimu DOLA mil100. kwa pamoja na kuwapa buree eneo la uwekezaji huo Mkubwa.
serikali ya kenya inataka kuwapa makaa ya Mawe yanayotoka lamu buree kwa kipindi maalumu
Uongoz wa kiwanda cha dangote kimepokea kwa furaha maombi hayo na yamepelekwa kwa washauri wa dangote mwenyewe wa maswala ya uwekezaji Kabla ya kumfikia mwenyewe dangote.
http://www.bongohotz.com/2016/12/kenya-watenga-dola-mil10o-kuhamisha.html
No comments :
Post a Comment