Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, March 27, 2017

Dadaake Fidel Castro afariki dunia!


Dadaake mdogo wa aliyekuwa kiongozi wa Cuba, Fidel Castro, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 78.

Agustina Castro Ruz hakushiriki katika siasa chini ya ndugu zake wawili, Fidel na Raul ambaye alimrithi Fidel kama rais wa taifa hilo.

Aliolewa na mpigaji kinanda Silvio Rodriguez, aliyelalamika kuhusu uhusiano mgumu na familia ya mkewe.

Rodriguez alihamia Marekani miaka ya 1990, Fidel Castro alifariki dunia mwaka jana.
Dadake mkubwa wa Fidel, Angela Castro alifariki dunia mwaka 2012 akiwa na umri wa miaka 88.

No comments :

Post a Comment