Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, March 22, 2017

Gwajima atinga Clouds!



By Ephrahim Bahemu, Mwananchi 
Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima tayari amewasili katika ofisi za Clouds Media GRoup kwa ajili ya kutoa pole kama alivyoahidi.

Kiongozi huyo wa amefika katika ofisi hizo saa 4:00 asubuhi akiwa na msafara wa magari zaidi ya manne naye alikua katika gari aina ya Hammer.

Amepokelewa na mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa clouds Ruge Mutahaba na sasa yupo katika mazungumzo ya viongozi wa kituo hicho.

No comments :

Post a Comment