Imefika wakati tunatakiwa kuwa wazalendo na nchi yetu, ni kweli makonda ni mchapakazi lakini amepungukiwa hekima kwa sasa. Anajua wazi kuwa alichokifanya ni kosa kubwa kisheria kipi kinampa jeuri ya kushindwakuomba radhi kwa yaliyotokea? amekosa sifa za kuwa mkuu wa mkoa kwa sasa!
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment