dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, March 25, 2017

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria yafanya ziara ya siku moja kisiwani Pemba!



MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe:Omar Khamis Othaman, akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, wakati walipokuwa katika ziara ya siku moja kisiwani Pemba, kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

WAJUMBE wa kamati ya kudumu ya Bunge ya katiba na sheria, wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe;Omar Khamis Othaman wakati alipokuwa akizungumza nao baada ya kufika ofisini kwake Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

MBUNGE wa Jimbo la Wingi Mhe:Juma Khamis Hamad, akichangia ripoti ya Tume ya haki za binaadamu na Mradi wa MIVARF, wakati wa ziara ya kutembelea miradi hiyo Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
WAJUMBE wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, wakitembelea moja ya miradi ya MIVARF ujenzi wa soko la Katari lililopo Chake Chake Pemba, wakati wa ziara yao ya siku moja Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe;Salama Mbarouk Khatib, atoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya katiba na sheria, wakati ilipotembelea soko la Katari linalojengwa na Mradi wa MIVARF Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

MKUU wa Msafara wa wajumbe wa kamati ya Kudumu wa Bunge ya Katiba na Sheria, Mbunge wa Jimboa la Mdiba Ruvuma Mhe;Joseph Muhagama, katikati akikagua kituo cha mafunzo ya kupunguza upotevu wa mazao ya Kilimo kilichoko Pujini Wilaya ya Chake Chake kinachojengwa na Mradi wa MIVARF.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Mhe:Ali Salum Matta, akizungumza katika hafla ya majumuiyo ya ziara ya wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, huko katika ukumbi wa VIP uwanja wa Ndege wa Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

MKUU wa Msafara wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mbunge wa Madiba Ruvuma Mhe:Joseph Muhagama, akitoa majumuisho ya ziara yao ya kutembelea miradi mbali mbali Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe;Omar Khamis Othman, akitoa nasaha zake kwa wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, mara baada ya kumaliza majumuisho ya ziara yao ya siku moja Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments :

Post a Comment