zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, June 20, 2017

Wahamiaji 120 wahofiwa kufariki baada ya mashua kuzama Libya!

Takriban wahamiaji 126 wameripotiwa kupotea baada ya mashua walimokuwa ndani kuzama katika pwani ya bahari nchini Libya .

Taarifa hiyo imearifiwa na shirika la masuala ya uhamiaji (IOM) mapema siku ya Jumanne .

Wakati huo huo msemaji wa IOM alifahamisha kwamba wahamiaji wanne waliweza kuokolewa .

Wengi wa wahamiaji hao ni raia wa Nigeria na Sudan .

Shirika la uhamiaji la UN lafahamisha kwamba takriban wahamiaji 44,209  wameingia Ulaya mwaka 2017 ,wengi wao wameenda Italia ,Ugiriki,Uhispania na Cyprus .

Wahamiaji wasiopungua 966  wamezama na kupotea katika bahari ya Mediterania katika njia inayounganisha Afrika kaskazini na Italia. 

No comments :

Post a Comment