Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, July 23, 2017

JPM: Kuna wakati wabunge watakataa kuwa mawaziri!

Rais John Magufuli amesema utafikia wakati ambapo wabunge watakataa kuteuliwa kuwa mawaziri kwa kuogopa kasi ya utendaji wake.

Akizungumza leo Jumapili Julai 23, Rais Magufuli amesema mawaziri anaowateua ni lazima wakubali matendo anayoyataka  kwa sababu ndiyo wananchi wanayoyataka.
“Tumechezewa vya kutosha, waziri lazima afanye yale ninayotaka mimi, ingawa hata hawa niliowachagua hakuna aliyekataa,” amesema.

Amesema Tanzania imechezewa kwa muda mrefu na kusababisha watu kukosa mapato yanayotokana na rasilimali za nchi.

“Tumechezewa vya kutosha, mimi ndiyo rais wa nchi hii na ninawaambia kweli kuwa tumechezewa, rais anajua siri za nchi,” amesema.

No comments :

Post a Comment