dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, July 23, 2017

Rais wa Uturuki amwambia Trump "Marafiki hawadanganyani"!

Rais Recep Tayyıp Erdoğan amemwambia Rais Trump kuwa kwamba marafiki hawafai kudanganyana.

Rais Erdoğan alikuwa anajibu kauli ya kiongozi wa jeshi la Marekani kwa kubadili jina la PKK/PYD nchini Syria kuwa vikosi vya jeshi la nchi hiyo.

Generali mkuu wa jeshi la Marekani Raymond Thomas siku ya Ijumaa alifahamisha  kwamba kundi la PYD lilibadilishwa na kuwa vikosi vya Syria ili iweze kushirikishwa katika mazungumzo ya Syria 

Erdoğan hata hivyo amekosoa vikali hatua hiyo na kusema kuwa kubadilisshwa kwa jina lao halibadilishi uhalisi wa muundo wao wa kuwa kundi la kigaidi.

Rais Erdoğan alikuwa anafahamisha hayo katika uwanja wa kimataifa wa Atatürk kabla ya kuanza   safari yake ya kuellekea mataifa ya ghuba siku ya Jumapili.

No comments :

Post a Comment