Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, December 15, 2017

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.Ajumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Katika Sala ya Ijumaa Masjid Nunge Dodoma Mjini leo!



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Alhajj Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam Mkoani Dodoma baada ya kumalisa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Mjini Dodoma na kutowa nasaha zake kwa waumini.
Wazee wa Masjid Nunge Dodoma wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam Mkoani Dodoma baada ya kumaliza Ibada ya Sala ya Ijumaa mchana huu leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Alhajj Ali Mohamed Shein,akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam Mkoani Dodoma baada ya kumaliza Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Dodoma. 
Waumini wa Dini ya Kiislam Mkoani Dodoma wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akitowa nasaha zake kwa waumini hao baada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Dodoma Mjini.

No comments :

Post a Comment