Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, January 14, 2018

Azam Waibuka Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi Cup, Kwa Kuifunga Timu ya URA Kwa Penenti Katika Mchezo wa Fainal Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Usiku Huu!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuanio ya Mapinduzi Cup 2018. Nahodha wa Timu ya Azam Himid Mao Mkami baada ya Timu yake kushinda katika mchezo wa Fainal ya michuano hiyo iliofika kilele usiku huo kwa kuifunga Timu ya URA kutoka Uganda kwa Penenti 4 -3. Na kukabidhiwa Kombe hilo kwa Mara ya Pili baada ya kulitetea vyema kwa mwaka huo.


/ZanziNews.

No comments :

Post a Comment