Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akifanya ziara ya kukagua shughuli za maendeleo na kuona changamoto zinazowakabili Wananchi wa Jimbo la Mwanakwerekwe.
Balozi Seif akiupongeza Uongozi wa Jimbo la Mwanakwerekwe kwa hatua yake ya kujenga Kituo cha Kazi ya Wahasiriamali kwa Vijana wa Jimbo hilo.Kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Ayoub Mohamed Mahmound na Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Mh. Abdullah Ali Kombo.
Balozi Seif akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Mwanakwerekwe katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake hapo Meli Nne Saccoc.
Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Mwanakwerekwe wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Meli Nne Saccoc kutoa changamoto zao kwenye Mkutano wa Majumuisho wa Ziara ya Balozi Seif.
Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Mwanakwerekwe wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Meli Nne Saccoc kutoa changamoto zao kwenye Mkutano wa Majumuisho wa Ziara ya Balozi Seif.

No comments :
Post a Comment