dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, March 16, 2018

Mh. Mbowe, Salum Mwalimu watoka polisi bila kuhojiwa chochote!

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalim waliwasili kituo Kikuu cha polisi Dar es salaam hadi wanatoka kituoni hawajahojiwa chochote.

Wakili Alex Masaba akiongea na Waandishi wa habari mara baada ya Mwenyekiti huyo kuripoti amesema kuwa “Haiwezekani mtu anafika polisi anakaa tu kwenye makochi ya central bila kuambiwa kitu chochote.“

Viongozi hao wametakiwa kuripoti tena Alhamisi ya tarehe 22 mwezi wa 3 mwaka huu, Waliotakiwa kuripoti Polisi ni pamoja na Katibu Mkuu Chadema, Vicent Mashinji, Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika.

No comments :

Post a Comment