Mchezaji mpira wa Saudia ambae hajaonana na mama yake kwa muda wa miaka 30 toka aachwe na baba yake, anahojiwa kwenye TV (MBC) ya Saudia na anaulizwa kuwa lini atakuenda Sudan kumuona mama yake?
Kijana anajibu kuwa atakuenda Sudan sio zaidi ya wiki moja kumtizama mama yake, wakati hajui kuwa channel ya MBC tayari ishamleta huyo mama ili aje kumuona mwanawe.
Kwa mshangao mtoto anamuona mamake yake kwenye studio.
Kinachofuatia bora uone mwenyewe kwa macho yako!
Kwa mshangao mtoto anamuona mamake yake kwenye studio.
Kinachofuatia bora uone mwenyewe kwa macho yako!
Mama kweli ni mtamu na hakuna kama mama!
No comments :
Post a Comment