Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, April 3, 2018

Mchezo wa Tamasha la Pasaka Kati ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao.1-1!

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Kamisaa wa mchezo huo wa maadhimisho ya Tamasha la Pasaka uliozikutanisha Timu ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Baraza la Wawakilishi Sports Club kabla ya kuaza mchezo wao wa Tamasha la Pasaka na wageni wao Timu ya Wazee Arusha Sports Club, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Viongozi wa Timu hizo wakiwasalimiana wachezaji wa Timu ya Baraza la Wawakilishi Sports Club kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa maadhimisho ya Tamasha la Pasaka.














No comments :

Post a Comment