Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, April 3, 2018

WAMBEYA WA MITANDAONI KUKIONA UGANDA!

@swahilitimes 
Swahili Times
Rais Museveni ameiagiza Wizara ya Fedha kuanzisha kodi ya mitandao ya kijamii (WhatsApp, Facebook, Twitter, Skype, Viber) ili kuongeza mapato ya serikali.

Rais Museveni amesema, matumizi ya mitandao kwa ajili ya elimu, tafiti yasitozwe kodi, bali wale wanaotumia kusambaza umbea.


No comments :

Post a Comment