Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, April 2, 2018

WINNIE MADIKIZELA MANDELA AFARIKI DUNIA!

Nomzamo Winifred Madikizela-Mandela, mke wa zamani wa mpigania uhuru wa Afrika Kusini hayati Nelson Mandela amefariki dunia dunia Jumatatu mchana akiwa na umri wa miaka 81.

Mwanamama anafahamika kwa jina la Winnie Mandela akionyesha ujasiri wake hasa alivyosimama kidete kupambana dhidi ya utawala wa makaburu kipindi chote wakati Mandela akiwa amefungwa kifungo cha maisha katika gereza la Robben Island.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Zodwa Zwane na akasema familia ingetoa taarifa zaidi baadaye.

No comments :

Post a Comment