
Mwanaume huyo anayefahamika kwa jina la Jagannath Shelke, 36, alikuwa ni mkazi wa kusini mwa Maharashtra nchini humo.
Familia yake imeliambia Shirika la Utangazaji BBC kuwa Jagannath aliacha ujumbe kuwa amejiua kutokana na bili hiyo ya umeme kuwa kubwa sana.
Hatahivyo inaelezwa kuwa bili hiyo ilikuwa imekosewa, bili sahihi ilikuwa ni Dola za Marekani 41.6 sawa na takriban Shilingi za Kitanzania 98,000.
No comments :
Post a Comment